Mkuu kwa mujibu wa sheria za Tanzanua ukitembea na binti mwenye umri chini ya miaka 18, hata Kama umemtongoza mkakubaliana, kisheria wewe ni mbakaji, adhabu yako ni kifungo cha maisha, hata kama maumbile ya huyo bint yametanuka bado kifungo kinakuhusu. Hata hivyo tuachane na hii mada tugonge likesMkuu usikatetee, kaliji haribu tangu kapo "nanihii Daima" baadaye wabana pua nao "wakala",ndo vile siwema alivyo enda kwa teja ndipo marehemu akaanza kutapatapa pa kuangukia.Kumbuka shule alikuwa anasumbua sana na yule binti mwenzie wa kichaga. Walimu nao "wakala" sanaa...
Hivi aliweza kuhitimu sekondari?
"Hata kama maumbile ya huyo binti yametanuka"Mkuu kwa mujibu wa sheria za Tanzanua ukitembea na binti mwenye umri chini ya miaka 18, hata Kama umemtongoza mkakubaliana, kisheria wewe ni mbakaji, adhabu yako ni kifungo cha maisha, hata kama maumbile ya huyo bint yametanuka bado kifungo kinakuhusu. Hata hivyo tuachane na hii mada tugonge likes
Kingine anacholaumiwa ni kule kujiruhusu kuwa na mahusiano na changudoa. siku zote changu lazima akupe majaribu. watu wajifunze hapoKabisa wanamuonea steve wakati kametandikwa na wengi kabla yake
Umepotea mkuuNipo boss. Habari yako mkuu
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] ulikuwa unaibiwa mchana kweupeeeKuna mmoja aliwahi kunidanganya eti "bebi wee ni mzuri sana...una rangi nzuri jamaniii "
Sikujihangaisha kujikagua upya kwenye kioo maana najijua kwa rangi yangu ya mbabuko na sura yangu.
Ameishia kuisifia namba yangu ya simu kuwa ni nyepesi haisahauliki....