Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nataka kujiunga CHACHAWA once and for all. Drama za uzi huu zimenishinda poti. Nilirudisha kadi kwa hasira tu. I need my card back [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Karibu tena chamani, Ila unatakiwa uwe na moyo wa chuma kuisimamia itikadi yako. Vinginevyo lazima tu utamtupia lawama shetani! [emoji1][emoji1]
 
Daaaaah!!

Aisee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan mi mwenyewe najaribu kupima lakini upendo wangu kwa maza hausi una nifanya nisivumilie.

Napata wakati ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…