"Berlin is a Testicle of the West, if a want the West to Scream i just squeeze unto Berlin"Nikita Sergeyevich Khrushchev
The Soft Malenkov...Georgy Maximilianovich Malenkov
Chumvi chumvini.
Hahah!! Hakika broacha kabisa hiyo tasnia " kama " huna imani ya kupiga ndele. na wala hauwezi " kupiga " basiii kaa kushoto" maana hata kama utakuwa msanii" utakuwa huna mvuto " muda wote utakuwa umefubaa tu " kama shati la mkulima wa jembe la mkono """......Hao madogo msione wanatamba tu " kwa kuvunja Nazi njia panda na kuchinja mbuzi hawajambo
mnamo mwshoni mwa mwezi wa nne Ali toa wimbo wake mpya "" clouds ...akafanyiwa na interview kabisa...lakini nimeusahau jina "" na dhani " bado hajapata management nzuri yakuweza kumvuta mkono .....""but jina la wimbo nimelisahauNemo nilikutana naye miaka ya Nyuma kidogo alikuwa anafanya kazi kwenye Radio ya Mzee Mfugale kule Iringa.
Sijawahi kumsikia tena akitoa nyimbo.....
The Last of the BolsheviksKonstantin Ustinovich Chernenko
The Man responsible for the Soviet Demise....Leonid Ilyich Brezhnev
NAZO-SOVIET PACTVyacheslav Mikhailovich Molotov