Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rosa Ree apata mkataba mnono

Kampuni ya Dimo Production imeingia mkataba wa miaka mitatu na rapa Rosa Ree ambapo kwa kipindi chote hicho watakuwa wakisimamia kazi zake.

Pia, imemkabidhi Rosa Ree nyumba yenye dhamani ya zaidi ya Milioni 400. Wimbo mpya wa Rosa Ree ‘Way Up’ ambao amemshirikisha rapa Emtee wa Afrika ya Kusini ndio wa kwanza kutoka katika uongozi huo.
 
Asee nielekeze inatumikaje
Unapokuwa tayari umeipakua itakuletea ukurasa ambao unatakiwa ujisajili kwa jina utakalokuwa unatumia( register username) ukimaliza hapo itakuletea forums nyingi nyingi ambazo ni pendwa(favourite forums) utachagua unazotaka kama hazipo utatafuta kwenye kitufe(search) kisha. Mfn unaweza tafuta jamiiforums na kuiorodhesha katika forums zako pendwa.
 
Dogo alikufa hivi hivi yaani. Super talented. RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…