Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kampachika mimba UwoyaHahahahaha, dogo janjaaaa
Nami niliwamiss mnoHahahaa
Thanks sana
Vijana walikumiss
Kweli kakaAmen. Halafu mmoja nasikia ndo alikuwa anaumwa au wote.
MUNGU Anajua na kazi yake haisailiwi...
Hahahahahah!!! Nimekosea!??? Nilihisi ka nimepatia.... Hahaha....Kisukuma hukijui bageshi. Unajua maana ya ilumbu lyane? Kiache tu !!!
HeeeeWe huna ujiwe wo wote. Ukitingishwa kidogo tu unayeyuka.
Tunashukuru sanaNami niliwamiss mno
Hata pande hizi mkuu kuna mifumo ya aina mbili. Dini na mira za kiafrika. Mira: muolewaji hana nafasi ya kuulizwa na wala hana chake kwenye fungu litakalolipwa. Dini: inaagiza mahari ni mali ya muolewaji na watu wasirundike vikolokolo vingine ili kuharakisha ndoaKoromije ni opoziti. Ladba siku hizi. Nimeshakaa vikao vingi sana vya kuelewana mahari na sijawahi kusikia mwolewaji akiulizwa. Mara nyingi kwanza anakuwa hata hayupo
Hahahahahahah!!!!Kampachika mimba Uwoya
[emoji736][emoji736][emoji736]True love Never die
Nipo mkuuPyaar
Hahahaha, yule ni rafiki yangu mpaka keshoHahahah kama unacontact zake mkumbushe hahaha
Hahahahaha, siyo kweli. Watu wa Dar ndiyo wanaotupiwa kila bayaWatu wa mkoa tunaonewa sana