myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ipoFemale brain
40% Love
20% shopping
20% money
10% Gossiping
10% Fu**ing
Male brain
97% Fu**ing
1% whom to f*ck
1% where to f*ck
1% how to f*ck
Men are like shoe laces, they enter many holes before they tie the knot. Sijui mbona siwachangi kusema ukweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume kujeni hapa nyuma ya tent tukubaliane ni nani tutamla kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3]Hahahahahaha!
Vipi umetumwa kuchukua kopo la sukari/ Laktojeni/selelaki,unalifungua huko huko halafu unabugia unga. Bahati mbaya unga unanasia aidha kwenye pua, pembeni ya midomo au kifuani. Mama anakuuliza umesha fungua na umelamba... Ile una bisha unavutwa masikio na unazabuliwa kibao huku unaonyeshwa ushahidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilipokuwa mdogo kabla sijachukua hatua naanza kuangalia kipi kiko wapi na kimekaa vipi.... [emoji23][emoji23]nisije kuumbuka....Utoto raha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Vipi umetumwa kuchukua kopo la sukari/ Laktojeni/selelaki,unalifungua huko huko halafu unabugia unga. Bahati mbaya unga unanasia aidha kwenye pua, pembeni ya midomo au kifuani. Mama anakuuliza umesha fungua na umelamba... Ile una bisha unavutwa masikio na unazabuliwa kibao huku unaonyeshwa ushahidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchungaji chunga kondoo wa bwanaNdio ndio
[emoji125] [emoji125] kuna wamama wengine wanapenda muda wote mtoto wake wa kiume kama yupo home na mke wake muda wote wawe chumbaniiiii... Utakuta mmama wa watu yupo sebuleni kajilaza hataki cha tv wala redio.... Anasikilizia kelele na miguno ya watoto wake wanavyo chimba viazi pacha. Mtoto wa kiume ukitoka tu utasikia "kama babaako tu" lionee... Mke akitoka anaenda jikoni utasikia "pumzika ntawapikia chakula anacho kipenda baba yenu akitoka kwenye kazi ngumu"[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli tena, kuna wamama wanapenda kuona wake wa watoto wao wanang'ara muda wote, wasiwe na purukushani purukushani, ili mradi jikoni aingie + usafi.... Hapo ataona mwanae anafaudu sana....[emoji6]
Umesema ahsante??? Mzee wa pwani unamjua au unamsikia??? Shauri yako....Asante.
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....SIKUWEZI aki[emoji125] [emoji125] kuna wamama wengine wanapenda muda wote mtoto wake wa kiume kama yupo home na mke wake muda wote wawe chumbaniiiii... Utakuta mmama wa watu yupo sebuleni kajilaza hataki cha tv wala redio.... Anasikilizia kelele na miguno ya watoto wake wanavyo chimba viazi pacha. Mtoto wa kiume ukitoka tu utasikia "kama babaako tu" lionee... Mke akitoka anaenda jikoni utasikia "pumzika ntawapikia chakula anacho kipenda baba yenu akitoka kwenye kazi ngumu"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rip my lovely mama. Ungekuwepo ungeinjoi sana kwa jinsi mwanao nilivyo na uwezo wa kumlisha parachichi mkweo bila kuchoka.
[HASHTAG]#NAKUPENDA[/HASHTAG] SANA MAMA, MIAKA 20 IMEPITA NAHISI KAMA NI JANA TU. HUKU UMEACHA CHUMA CHA BELA MITWA#
Asante ina maana nyingi lakiniUmesema ahsante??? Mzee wa pwani unamjua au unamsikia??? Shauri yako....
Aamin [emoji120] [emoji120]Kifo kinatisha kwa kweli, maana inakuwaje kila anayekufa anapitia machungu ya ugonjwa au ajali. Na mara nyingi anayekufa lazima akojoe na au kumwaga haja kubwa. Kwa kweli nikitafakari hapo hukiohopa sana kifo. Ni vile siri yake haijulikani mpaka kikufike.
Mwenyezi Mungu atuepushe na kifo chenye machungu. Aamin
Hakika mkuu[emoji120] [emoji120]Kifo ni lazima tukitafakari. Na ukikitafakari sana lazima umche Mola wako, maana kuna siri kubwa hapo
Hakika[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kila nafsi itaonja mauti! Hivyo kila mtu anapaswa kutafakazi, je matendo yake yanashabihiana na mapenzi ya Mwenyezi Mungu?
Wakati wa kurudi kwa Muumba hakuna nafasi ya kubeba hata sehemu kidogo ya mali mtu alizozalisha au kwa mabavu au kwa njia njema. Kila mtu anapaswa kuwa mfumo wake wa maisha utakaodumu hata baada ya kifo chake. Kwani mtu hufa lakini matendo na mwenendo wake mwema humweka hai na kubaki kama ua katika jamii alimoishi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuu unawaza kukoma kwa uzi, wangi waliowaza kukoma kwa uzi huu walikoma wao na uzi ukapeta. Gonga likes achana na mawzo ya uzi kukoma
Mwanza mkuuKimji kizuri, wapi hiyo?