[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba niliruka kihunzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mtu kama huyo hata nguvu za kumsaidia zitapotea, zitaishia kwenye kucheka tu.
Daah mkuu acha tu kila mtu haya maisha nahisi ana njia yake ya kutokea, soccer nilikua napenda sana ila nilishindwa kua na subiraUngefuata nyayo za kakaako Mwinyi Kazimoto mida hii nawe ungekuwa unakula bata wa soka [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu kama ni hivyo una machozi ya kutoshaNdiyo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vidole sio vyangu vile alafu uzuri viliyumba laa sivyo vingeleta utata sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Wasukuma wanaponzwa na wingi wao, kule Morogoro wamejaa Kilosa, Ifakara, Gairo na Morogoro Vijijini na wako vizuri kuangalia mifugo yao kuliko kujiangalia wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah mkuu acha tu kila mtu haya maisha nahisi ana njia yake ya kutokea, soccer nilikua napenda sana ila nilishindwa kua na subira
Hahah!! Daa aiseeNaye anataka akuzindue[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]gonga msosi wa kutosha mkuu uwe tayari kuzinduliwa achana na chips[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sijambo Moud, habari yako?Hujambo ledada, naona unakumbuka avatar yako ya zamaniView attachment 806068View attachment 806072
Machozi ya mambaMachozi ya samaki...
Yanaenda na maji...Machozi ya samaki...
Daah!! Wewe bhana acha tu [emoji23]Eee bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema tabhani?
Asante sana BradhaPole mkuu.