mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli imani inagomba lakini Niko addicted sana bettingUsibet kwa kuangalia mapenzi uliyonayo kwa timu husika, mapenzi weka kando bet ujipatie fweza. Hata hivyo betting ni hairuhusiwi kiimani
Tamaa ya moyo inaweza kukuweka matatani.SIFA YA MOYO TAMAA
Nitafanyaje sasa na ndiyo moyo sifa yakeTamaa ya moyo inaweza kukuweka matatani.
Mmmmmhhh!Nilikuonaaaaa hahahaha
Jamaa alikuwa mzuri sana enzi zake bonge la mchezajiSUPASTAA wa zamani wa Croatia, Davor Suker amesema England ina bahati sana kuendelea kuwapo kwenye Kombe la Dunia 2018 hadi sasa.
Suker ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache tu kabla ya nchi yake ya Croatia haijamenyana na England kwenye nusu fainali ya fainali hizo zinazofanyika Russia kesho Jumatano.
Mfumo hovyo sana huuWAAMUZI WA VAR:
Meza ya teknolojia ya video (VAR), itaongozwa na Sampaio Wilton (Brazil), Vigliano Mauro (Argentina), Dankert Bastian (Ujerumani), Dias Soares Artur (Ureno), Gil Pawel (Poland), Irrati Massimiliano (Italia), Makkelie Danny (Uholanzi), Orsato Daniele (Italia) Valeri Paolo (Italia) na Zwayer Felix (Ujerumani).
Nipo nyuma yaoTangu hapo ilibaki kuhangaika tu. Miaka 20 baadaye, imerudi ikiwa na lengo kuu. Kubeba ndoo na sio kingine. Croatia ina ari, kasi na nguvu ya kufanya hivyo, na msukumo wa kuhakikisha hilo linafanyika limebebwa na Rais wao, Kolinda Grabar-Kitarovic.
Kuna mtu ataweza hii kweliTuanze na hili la Madam Kolinda. Wengi wanajiuliza huyu anaingiaje kwenye mambo ya soka. Ni hivi, shabiki namba moja wa Timu ya Taifa ya Croatia ni Madam Kolinda. Rais huyu ametia fora kule Russia hatari. Tofauti na ilivyo kawaida, Rais Kolinda (50), amekuwa mstari wa mbele kutoa hamasa kwa timu. Kuanzia siku ya kwanza ya fainali hizi, Rais Kolinda alihamishia ofisi yake Russia. Majukumu yake yote ya kitaifa akiyatekelezea katika ubalozi wa Croatia, iliyoko mjini Moscow.
[emoji137] Malcolm, mambo!?
Sawa shiro [emoji23],mm niko poa kabsaSalama kasmart [emoji4]za kwako?
Niko poa sana baba
Morning mkuuKweli