Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beki wa kulia wa Croatia, Sime Vrsaljko ambaye anakipiga katika klabu ya Atletico Madrid, aliiponda England kwa kudai bado haijabadilika kama ambavyo imekuwa ikisemwa na badala yake imekuwa ile ile ya siku zote huku ikitumia zaidi mipira mirefu.
 
Kilichokuwa kinasemwa ni kuwa England hii inatazamiwa upya na imebadili njia yao ya kucheza mipira mirefu, lakini tulipowakaba sana walitumia njia hiyo hiyo. Hawajabadilika,” alisema beki huyo ambaye alisababisha madhara kwa England kwa kupiga krosi ya bao la kwanza lililofungwa na Ivan Perisic.
 
Kwa heshima kubwa niungane na Rais wetu kwa kazi kubwa anayofanya kuibadilisha Tanzania, ninafuraha sana kwa kuweka kodi kwa wasanii nchini, kundi hili lilisahaulika na lilitumiwa bila kuingiza faida kwa taifa...

Watumishi nchini wakatwa kodi zaidi ya 25%, wafanyabiashara tunakatwa kodi zaidi ya kumi kwa biashara moja. Kwenye demokrasia tuliwambia jamani shirikini kukemea, wakatuona wajinga na kwamba haiwahusu, Kwenye sheria ya Mitandao tukawambia wakatuona wajinga kwamba haiwahusu, kwenye uminyaji vyombo vya habari tukawambia lakini wakatuona wajinga kabisa kwamba wao haiwahusu,

Wenzetu hawa wasanii wakaendelea kuimba iyena iyena tu, Naam, namshukuru Rais wangu kwakuwasaidia wasanii kukua kiakili.... Siku nyingine tukiwaambia twendeni hivi watatuelewa... Kanya twende baba Magu, sie wanasiasa tunakuunga mkono kabisa baba!!!!

Na Yericko Nyerere
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mechi zinazoenda extra time na hatimaye matuta zina raha sana...Unamuacha anafunga mengiiii,mbaba unafunga moja tu lakini shuti lake sasa... Akilidaka tu usingizi mzito unamuangusha
Mechi za hivi zinaharibu ustawi wa nyasi mtu utadhan barabara inapitiwa na wengi kumbe makombora huwa mazito mpaka mizizi ya nyasi inagoma kustawisha bustan mwanana

[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hata mimi ningestaafu tu..... Na huu uwe mfano kwa wasomi wengine wanaoingiliwa na wanasiasa na kudhalilishwa.... Kuna maisha nje ya kazi uliyonayo....siwezi kudhalilishwa kiasi kile na mwanasiaasa tu ilihali mimi ni msomi na ninaweza kuishi kwa taaluma yangu... Nakutakia maisha mema Daktari msomi Kamishina Jenerali Malewa

Na Yericko Nyerere
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mechi zinazoenda extra time na hatimaye matuta zina raha sana...Unamuacha anafunga mengiiii,mbaba unafunga moja tu lakini shuti lake sasa... Akilidaka tu usingizi mzito unamuangusha
Hujawahi kuniangusha kwenye hii taaluma hata siku moja. Sipati picha ikitokea wewe na mwalimu wetu aka prof mkutane kunako uwanjani laivu. Niko tayari kulipa milioni moja keshi kama kiingilio kuja kushuhudia mtanange huo laivu...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…