Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh!Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa wafungwa wanapaswa kufanyishwa kazi usiku na mchana na kwamba wafungwa wazembe wanafaa 'kupigwa mateke'.
He he!!Ametoa wito wa kusitishwa kwa wanawake au wanaume kutembelea wake zao au waume zao jela.
Aeiou...Weee hujawahi kunywa uji weuweee sio ule wa mgonjwa,ni ule karibia kusonga ugali wacha weeee uji mzitoooo moto moto aiseee muda huo hata izirail akitokea utamsalimia na kusema dah umenishtua mwananguuuu nilidhan fumanizi kumbe ni wewe nisubiri nimalizie haka ka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thanks Numbisa,,, leo humu ndani itakuwa wamepata tabu sana kwa hz gif[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzakoMtoto wa mwenzio changamka nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...and I hereby declare that CHACHAWA is officially dead [emoji16][emoji16][emoji16]