Naona umevuta hadi jiko..Karibia nipate hug yako ambayo inajoto mubashara sweetie
Hahahaha wewe mzee ni shidaKumeza mate hakukati kiu!
Kwani tupo wangapi?Utamuunga kwenye group la wakezo sio?
Unamjua Jakitoo??Amewaona warembo wengi ila mimi pekeangu nimewazidi wote
Kazi kweli kweliHahahaha wewe mzee ni shida
Yakikupata kaa kimya na ugugumie huko hukoAmewaona warembo wengi ila mimi pekeangu nimewazidi wote
Asante mkuuuApp ndiyo inaonyesha tano. Ukienda kwenye browser ndiyo utaziona zote!
Nakupenda pia mume wangu mtarajiwaMpenzi hizi ni hadithi za abunuasi nakupenda sana
Masikio yangu yameziba kwa mapenzi yako sisiki watu nakusikia wewe tu honeyNimeziba masikio sisikilizi ya watu
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio mimi alafu ujue?kuna mtu anaitwa nsamaka ndo chombo chake hiko
Ni hatariUzi huu!
Ziba tu mama naona umekolea kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeziba masikio sisikilizi ya watu
Tunapendana sana shemejiNaona umevuta hadi jiko..
MZEE WA LIVER HONGERA kuingia 20Mzee wa data unatisha
Hahahaha wewe mchina msamehe rafiki yanguKwa kichwa hiki kichafu hakuna zizi litabaki salama
Abee!namuonaga tu atakuwa wifiangu huyoUnamjua Jakitoo??
Kila mtu anamtaka yeye
Ndo umezama hata kunijibu hutaki??Masikio yangu yameziba kwa mapenzi yako sisiki watu nakusikia wewe tu honey