[emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera mkuu kwa kukikwaa cheo. Urafiki upo tuAaaah.... Nikisema jina langu limetajwa leo naweza poteza marafiki humu?
Ahsante Mungu kwa kila jambo juu yangu[emoji120] [emoji120]
Siyo kila anayetukana upinzani au chama tawala anataka cheo. Wengine (kama tulionao humu) wanafanya hivyo sababu ya "uzalendo" wao. Ndiyo demokrasia ati [emoji16][emoji16][emoji16]Kati ya wote hapo aliyefanikiwa zaidi ni Jerry Muro, cheo hicho amekipatia tabu sana, maana ametukana sana siasa za upinzani ili angalau afikiriwe kajicheo. Hongera zake
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila la kheri[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mungu akipenda kesho kutwa nitakuwa naelekea hukooo pamoja na wenzangu wachache
Rais Kabadili baadhi ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala
Katibu tawala
Abubakar musa -dar
David kafurira-songwe
Denis bandisa-geita
Happy william - iringa
Abdalla malela -katav
Rashid chatta-kgm
Masaile mussa -manyara
Carolin mpapula -mara
Dk jerry mareko- mtwara
Christopher kadio -mwanza
Eric chitindi -njombe
George mchaki - ruvuma
Andrew masawe-ofisi ya waziri mkuu
Lisante gabriel -uvuvi na mifugo
Dk jimmy james - naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi
Edwin muhede- viwanda biashara na uwekezaji
Wakuu wa wilaya
Jerry mulo- arumelu
Patrobas katambi - dodoma
Jokate mwegero - kisarawe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee weweMwanaume suruali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Le kokobanga ni dc kweli??
Halafu mmoja wetu humu akiula ukuu wa wilaya au cheo kingine yaani utaona anatubadilikia ghafla kama vile siyo yeye. Power changes people quickly...[emoji16][emoji16][emoji16]Numbisa sijamuona humu leo, nae kala shavu la ukuu wa Wilaya nini? Ndio ka Jokate ketu humu? [emoji23][emoji23]
Kumbe kulikuwa na nguvu ya mbunye[emoji3] [emoji3] [emoji3] asee. Hatimaye Mbunye imetupatia DC[emoji46][emoji46][emoji46]mamdogo kaukwaa ukuu wa wilaya??
Hapana chezea mbuye wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ndo uanaume sasa. Unakata mzizi wa fitina mapema. Yego njoo ujifunze MO hii ya kikubwaMimi siyo Yego,sitaki kuzungushwa,unataka uji wa parachichi?
Kaka ake umekunywa maji lita ngap leo?[emoji23][emoji23]Kumbe kulikuwa na nguvu ya mbunye[emoji3] [emoji3] [emoji3] asee. Hatimaye Mbunye imetupatia DC
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Le kokobanga ni dc kweli??
.......Kuzaliwa mwanaume mateeso kuhangaika[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbunye ya changu yaweza kukupatia kiongozi jimboni kwako[emoji2] [emoji2]Wanaume mmeumbwa kuteseka endeleeni kuteseka[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DC-Instagram [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katika orodha hii kuna ndugu yenu, mwanauzi mwenzenu, kipenzi chenu, rafiki yenu, mmiliki wa Fenesi hili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Rais Kabadili baadhi ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala
Katibu tawala
Abubakar musa -dar
David kafurira-songwe
Denis bandisa-geita
Happy william - iringa
Abdalla malela -katav
Rashid chatta-kgm
Masaile mussa -manyara
Carolin mpapula -mara
Dk jerry mareko- mtwara
Christopher kadio -mwanza
Eric chitindi -njombe
Riziki salas - ruvuma
Andrew masawe-ofisi ya waziri mkuu
Lisante gabriel -uvuvi na mifugo
Dk jimmy james - naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi
Edwin muhede- viwanda biashara na uwekezaji
Wakuu wa wilaya
Jerry mulo- arumelu
Patrobas katambi - dodoma
Jokate mwegero - kisarawe
[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee weee
Me nataka la kupaka usoni[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mauno feni[emoji23][emoji23][emoji23]...Alijituma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wabaya sana,,huu utani sio kabsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DC-Instagram [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara hiyo inalipa sana[emoji3] [emoji3] unaweza dharauliwa ukaitwa tumbili, ukiungana nao watakupa uheshimiwa[emoji3] [emoji3] usipoteze mudaSoon nahamia CCM [emoji23][emoji23]
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Weee mtoto?!!!! Uji wa parachichi ujisiribe usoni?