Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu naye. Hako kashingo ka limwamba kakiteguka si basi tena?
Ulipe na rent zote unazodaiwa huko. Karibu sana [emoji16][emoji16][emoji16]Basi nitahamia huku, acha nikatoe notice kwa mwenye nyumba...nihamie huku
Itabidi mnichangie...maana sikuwa nimejindaaUlipe na rent zote unazodaiwa huko. Karibu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio huku,uzi mwingine hukoo entertainmentUnataka kuhama uzi/JF ama nini? Hilo haliwezekani na tutakufuata huko huko unakokwenda.
Hahaha shukran ntawabandikia baadae,najipanga maana kule pazito kwenda bila kujipangaHaya dada, binafsi nimekuelewa.
Umefanya kwa nafasi yako, kwa kujitolea sana.Itabidi ukawabandikie wadau kule isidingoni.
Ahsante sana, ningekua na zawadi ningekupa, hahahahah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha shukran ntawabandikia baadae,najipanga maana kule pazito kwenda bila kujipanga
Usiku wa ujiUsiku wa pipii
Ni konokono mama. Wale spesheli wasiopatikana kirahisi. Wale wa kwenye maji vuguvugu wanono watamu wasiokaukiwa na utelezi hata wakiwa nje ya gamba lao. Ukifikiria ulivyohangaika kumvua kwa shida. Ukaingia gharama za kutisha huku ukiamini kuwa utamla peke yako...Inauma sana !!!Hivi ni depression ama nini??
************************************
Mchungaji Abel Ayinza Raia wa Uganda anayefanyia kazi zake nchini Marekani amejiua baada ya kuona picha za Mke wake aliyemuacha nyumbani mwezi mmoja uliopita nchini Uganda akiwa anachumbiwa na Mwanaume mwingine.#MillardAyo