Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata kwa wazungu hasa kwa Trump mambo ya boarding school ni nadra sana. Tunadhani kufanya hivyo ni usasa. Ulimbukeni !!!
 
Bro mwambie huyo,,, si huwa anampango wa kumtafuta mkoromije,,, inabidi aanze kuzoea mapema kupiga magoti
 
Bro mwambie huyo,,, si huwa anampango wa kumtafuta mkoromije,,, inabidi aanze kuzoea mapema kupiga magoti
Desemba nilikuwa kwenye msiba basi kulikuwa na binti mshua mshua hivi alikuwa anapiga vile vimagoti vya nyodo. Wazee aisee wakamchimba mkwara kama anataka kuwasalimia awasalimie na kama hataki basi aache. Kesho yake nikamuona anapiga magoti mpaka chini kabisa na kubakia hapo...
 
Wazazi wengi wa sasa wanakimbia majukumu mwisho wa siku wanaanza kulalamika ooh mwanangu anatabia za ajabu kumbe aliwapa watu wamlele.
We unafikiri mwalimu anamuda wa kumchunga mtoto wako ana fanya nini na nani na wapi?
Ifike kipindi watu wakiamua kuwa wazazi wawe wazazi kweli wasizae na kupeleka watoto shule mapema kwa kisingizio cha kuwa busy na maisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuwa anawabeep,,alikuwa anataka awepelekee usistaduu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…