Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh! Hapana kwakweli
Kwakweli, afadhari mlevi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tukiachana na maisha ya hapa JF, hakuna kilicho afadhali kati ya umalaya na ulevi kwenye ndoa.
Wanandoa wanatakiwa waishi kama watoto wanao tegemeana, mwanaume ukikorofishwa/ukipata ubuyu huko, sehemu ya kupumulia ni kwa rafiki/msiri wako, vivyo hivyo mke akipata ubuyu/kakwazana na wenziye huko sehemu pekee ya kujieleza bila kupingwa pingwa ni kwa mume wake.
Wanaume kuna kuchepuka kwa kuteleza/tamaa ya kuvumbua kilichomo kwenye msambwanda uliouona. Ikitokea hivyo chonde usiwekeze kwake, tena hata jina lake lisikae kichwani mwako.

UTAWEZAJE KUJENGA URAFIKI NA MKE WAKO?
Rahisi tu...
1.pendelea kucheka stori zake za huko insta au kazipata mtaani
2.cheza muziki anaoupenda kivingine ili akukosoe
3.siku zingine muibie gauni la kulalia alilojiandaa siku hiyo halafu livae
.jifanye huzioni boxer zako vaa lichupi lake, hakika litakupwelepweta na fenesi litatokea nje halafu muite akuone
5.msaidie kupika,mnakuwa wote jikoni(napenda sana kusonga ugali) huku fenesi likionekana kwa mbaaaali laivu...
6.itaneni majina ya kitoto maana kwa vyovyote mtakuwa mmesimuliana maisha ya zamani.
7.usimnyime uhuru wa kusimulia mahusiano yake ya zamani, kama aliumizwa na ukashiriki kuumia nae japo ni ya zamani anajihisi amepata mtu sahihi...

MIMI NI BABA WA MKE WANGU, YEYE NI MAMA YANGU KIPENZI.
TUMEKUWA MARAFIKI KWA MUDA MREFU SANA, WATOTO WETU WANAJUA HILO. SISI SIO WANANDOA MAANA TUNAOGOPA KUAMRISHANA.
HATUJAWAHI KUPIGANA, ILA NIMEWAHI KUMTUKANA "pumbavu" miaka kumi iliyo pita. Bado hilo tusi linamtesa hadi saa hizi.

Kuna siku nilimkosea, alilia sana, akaniuliza "unajua wewe ni yatima? Sitakiwi kukufanyia kwazo lolote maana mimi nina wazazi" Ujinga wangu nilivyo utambua nikaamua kuwa mpumbavu hadi dakika hii...

Jitahidini kuishi kiurafiki kuliko kindoa ili maisha yenu yawe ya furaha...
Tumtegemee Mungu kwa kila jambo, tamaa mbele mauti nyuma

...ulevi ni dhambi, umalaya ni laana...
 
Wasanii hawapendani kwakuwa wanaishi maisha ya Utesi na majungu. WATAPATA TABU SANA..
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitoroli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], umeongea busara nyingi mno, ila huko kwingine kumenifanya nicheke....Kama ulichokishauri ndicho unachokitenda kwa mkeo, Mungu aendelee kuwabariki muishi maisha ya furaha + amani siku zote ..
 
Dau lake haliendani na umri alionao,
 

Shemeji huyu ni wewe?
Agiza zile za bukubuku nalipa kwa tigo pesa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mwanaume mlevi hana maendeleo mana kila senti atakayoipata itaishia bar,na mwanaume malaya vilevile wote wako sawa hakuna mwenye afadhali.

Hakuna mahusiano mazuri kama yale yanayo/yaliyojengwa kwenye misingi mizuri ya urafiki.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Amen.
Mengine ni kujiendekeza tu. Nikiwa na hamu ya kutongoza huwa Wife linamuangukia tongozo.... Na anajua kifuatacho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shemeji umenitega[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesema mlevi hana maendeleo halafu umesema niagize za bukubuku?!!! Ni nini hizooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shemeji umenitega[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesema mlevi hana maendeleo halafu umesema niagize za bukubuku?!!! Ni nini hizooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji bhana,we agiza bili iende kwa SHIMBA YA BUYENZE .

Nimekumiss halafu tangu jana nakuwaza ujue??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…