Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kupanga muda wa kusafisha mwili kwa ajili ya kuondoa sumu, sio sawa na kula kilicho safi.Wazo kubwa hapa ni kukaa mbali na vyakula ambavyo vimetengenezwa na kutunzwa kwenye makopo au chupa au chochote na kuachana na vyakula vya kukaanga kwenye mafuta mengi , badilisha kwa kula matunda mengi na mboga za majani. utajisikia tofauti kabisa.
 
Kula kilicho safi pia unatakiwa kuangalia chakula chako kinatoka wapi, hii inaweza kuwa unanunua mazao ya asili , yaliopandwa na mbolea ya asili , kuepukana na mbolea za kiwandani. Epuka nyama za kutoka kwenye makampuni makubwa, badala yake nunua nyama zinazotoka kwa wafugaji wa kienyeji.

Kula kilicho safi inaweza kuwa iwe ni gharama sana kwa sasa, kutokana na upatikanaji wake, lakini ni utunzaji mkubwa sana wa baadae kwa ajili ya afya yako. vinginevyo ndio hivyo.
 
Wanawake katika kazi mbalimbali, mipango yao huenda haraka zaidi ya wanaume, mara tano zaidi ya wanaume, na hutumia ubongo kidogo tu kutambua kazi iliopo.

Hatimae, wachunguzi wamehakikisha kwamba wanawake wanahitaji muda wa zaidi wa kulala kuliko wanaume kwa sababu wako Smart sana. Ni ukweli wa kisayansi.

Sawa…. sio hivyo hasa.
 
Kitu ambacho wachunguzi wamekuwa wakihakikisha ni kwamba wanawake wana ubongo ulio sharp kuliko wanaume.

Wanawake ni multi-taskers, kwa maana wanahitaji kiasi cha juu kinachofanya kazi kwenye ubongo wao hufanya kazi nyingi kuliko wanaume na hutumia ubongo mwingi. Matokeo yake ni katika kulala zaidi ndiko watapata kutulia na kuongeza nguvu hio.
 
Sababu kubwa ya kulala kwa muda mrefu ni kuruhusu ubongo utulie na kuuokoa na kuukarabati , unapokuwa umelala. Unapotumia ubongo mwingi kwa siku, ndio unavyohitaji kuukarabati zaidi na, hali ya hatari. kwa kadri unavyopata usingizi wa kutosha.

Watafiti wamegundua kuwa wanawake wanahitaji dakika 20 zaidi kuliko wanaume kulala usiku. Inasemekana kwamba mwanaume anaefanya kazi za kutumia akili nyingi na kufanya maamuzi ya kazi , huhitaji kupata muda mwingi wa kupumzika kuliko mwanaume wa kawaida., hata hivyo bado hamfikii mwanamke.

Mwanamke anahitaji kupata muda wa kutosha wa kupumzika kuliko mwanaume kwa sababu ubongo wao umetengenezwa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…