πππMie napaka usoni[emoji23]
Unakula hauonjiWeuweee kuonja maini muhmu
Na kwako pia kamanda. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu heri ya sikukuu
Mnaongelea maini gani? Haya ya kawaida au yale ya "Ng'ombe hazeeki maini?"Weuweee kuonja maini muhmu
Bageshi/Kaisiki. Naomba uanzishe angalau ligi moja tu halafu unitag. Nataka tu kujikumbusha those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]Kabisaaa
Aisee! Umenikumbusha mbali...Nilikuwa mmoja wa wapamba mikebe... Nimejaza pens, pensils, naweka na kinoti cha 500/buku[emoji23][emoji23][emoji23]...ukiushika mkebe kama umeshika jiwe[emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji nakunywa ila parachichi nalo linanafasi yake[emoji23]πππ
Usoni kwanini usinywe maji mengi tuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiBageshi/Kaisiki. Naomba uanzishe angalau ligi moja tu halafu unitag. Nataka tu kujikumbusha those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ya kawaidaMnaongelea maini gani? Haya ya kawaida au yale ya "Ng'ombe hazeeki maini?"
Acha hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakula hauonji
Kwani Numbisa wewe ulikua unazungumzia maini yapi?Mimi nilijua ya ng'ombe.Haya ya kawaida ni ya kuku au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ya kawaida
Ya kuku banaKwani Numbisa wewe ulikua unazungumzia maini yapi?Mimi nilijua ya ng'ombe.Haya ya kawaida ni ya kuku au?
cc: SHIMBA YA BUYENZE