Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui ndo kiki za kisiasa ama nini.
Ila yatamkuta makubwa sana huyu,atajutia hii kauli yake
 
Tuambiwe hiyo pochi ilkua na vitu thamani pia. Unasema ugumu wa maisha, kuna watu hawakuelewi bado.
Watu hawanielewi akina nani? Nani namwelewesha bro? Pochi hata kama ingekuwa na bilionsi of US $ bado hai-justify kupiga mtoto mpaka kumuua. I was just speculating bro ila kama unaijua sababu halisi waeleweshe hao watu unaodai kuwa hawanielewi bado. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…