Tayali mkuu,,, nipo chattle city mkuu,, ulipotea sana mzee,,,mtt alikuficha sioNjema tu askari wangu, mara ya mwisho ulikua Kigoma vp ulisharudi CT?
Heheh! Hakuna kufichwa mtu mkuu sema harakati tu ndio zinakaba sometimesTayali mkuu,,, nipo chattle city mkuu,, ulipotea sana mzee,,,mtt alikuficha sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Talking about big government. Wanataka ku micro manage kila kitu. Ni kodi inatafutwa au ni nini? Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Serikali Kusimamia Vyakula vya Kwenye Harusi na Misibani Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imewataka watoa huduma ya vyakula kwenye mikusanyiko ikiwemo kwenye misiba na harusini wajisajili na endapo wasipofanya hivyo watafungiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Agnes Kijo, amesema, utoaji wa huduma ya chakula unapaswa kuzingatia sheria na kanuni bora za usafi ili kuhakikisha chakula kinachoandaliwa ni salama.
“Hatutaki tufikie hatua ya kufungiana biashara, kufikishana mahakamani bali tunahitaji watu wafate sheria kwa kujisajili ili watambulike na huduma wanazozitoa zizingatie usafi“, amesema Kijo.
Kijo amesema kuwa kwa sasa TFDA itakuwa na kazi ya kutoa elimu kwa watoa huduma hao ambapo watatoa muda maalum ili watu wajisajili baada ya hapo wataanza ukaguzi kwa kila halmashauri na itafikia hatua wataanza kusimamisha magari yaliyobeba vyakula ili kuyakagua.
Julai 13, akiwa ziarani jijini Mwanza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alitoa agizo kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Wizara ya Afya, Kitengo cha Afya ya Mazingira, kuangalia ni Mamlaka ipi inajukumu la kutazama vyakula vinavyoliwa kwenye maharusi, ili kulinda afya za walaji.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 852218
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaa wapi....[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Heheh! Hakuna kufichwa mtu mkuu sema harakati tu ndio zinakaba sometimes
Kama unabisha jaribu siku moja halafu ulete mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16]AAhahahahah! Nimecheka sana mkuu
Tafiti zingine ni kupoteza resources na muda tu kwa kweliMBUZI WANAVUTIWA NA BINADAMU WANAOTABASAMU.
Utafiti wa muonekano wa furaha wa mbuzi umefanyika Uingereza
Wanasayansi wamebaini kwamba mbuzi wanavutiwa na binadamu wanaotabasamu.
Utafiti huo umeelezea kwa kina namna ambavyo wanyama huwa wanatambua hisia za watu zaidi ya ilivyokuwa inafikiriwa awali.
Watafiti wamewaonesha mbuzi picha za mtu mmoja, moja iliyomuonyesha akiwa amekasirika na nyingine mtu huyo akiwana furaha.
Katika jarida la Open Science, watafiti wameeleza kwamba mbuzi hao walifanikiwa kuifuata picha ya mtu aliye na furaha.
Matokeo hayo yanadhihirisha kwamba uwezo wa wanyama kutafsiri hisia za binadamu sio mdogo ikilinganishwa na mbuzi ambao wameishi na kufugwa kama mbwa au farasi.
Badala yake inaonekana kuwa wanyama wanaofugwa kwa chakula. kama mbuzi pia wanaweza kutambua hisia usoni mwa binaadamu.
Watafiti wamebaini kwamba mbuzi wanapenda zaidi watu wanaotabasamu na kuzifuata picha za watu wenye furaha kabla ya kutambua picha za watu waliokasirika. Na pia walitumia pua zao zaidi kuzitambua vizuri picha za watu wanaotabasamu.
Lakini picha hizo za muonekano wa furaha ziliwapendeza zaidi zilipowekwa katika upande wa kulia.
Watafiti wanaamini huenda ni kwasababu mbuzi wanatumia upande wa kulia wa ubongo wao kutathmini matukio - jambo linalodhihirika kwa wanyama wengine.
Na picha hizo zilipowekwa katika mkono wa kushoto mbuzi hao hawakuonekana kuvutiwa nazo.
Inaweza ikawa upande wa kushoto wa ubongo ndio unatafakari hisia chanya au upande wa kulia wa ubongo ambao hauonesha sura ya hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamwambia mwanasiasa mwenzake mtoto wa baba kuwa asikate tamaa...Dadii izi kamingi [emoji16][emoji16][emoji16]Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameandika katika ukurasa wake wa Twitter asubuhi ya leo August 31, 2018 “Barabara inapokua na shida, usikate tamaa na kuacha safari. Badili viatu na kusonga mbele!”
Alichoandika Nape wengi hawajafahamu ana maanisha nini? ila aliambatanisha na picha yenye maneno ya kizungu ambayo yeye aliyatafsiri katika caption.
View attachment 852194
Sent using Jamii Forums mobile app
Mistari ya kueleweka sana hii prof. Aliyeitunga atakuwa amebobea kwenye mambo ya urari na mkong'osio. Hapo ni kuongezea beats tu na mtu anayejua kufoka foka tayari unapata bonge la songi [emoji16][emoji16][emoji16]A Kiss Is A Upper Preparation
For A Lower Invasion
That Will Lead To Further
Penetration With Fast Acceleration
That Will Build The Next Generation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kubwa kwenye ndoa ni komyunikesheni. Ai repiti. KOMYUNIKESHENI. Watu wanaoneana aibu. Una fantasy yako na vitu unavyovipenda. Badala ya kumwambia mwenzako unakwenda kumwambia mchepuko. Unakuta mtu anapenda kufungwa kamba au kuzabwa makofi na hata kufinywa mpaka alie kama mtoto mdogo wakati akigegeda. Badala ya kumwambia mkewe anaona aibu anakwenda kutafuta mchepuko. Whai?Wataalamu wa masuala ya ndoa, wanasema ili mwanamke aweze kupambana/kumfanya mume wake asichepuke nje ya ndoa...
Basi kuna kipindi mwanamke anatakiwa awe kahaba,, tena kahaba kweli kweli (sio kahaba unayemjua ww,, yule unayemuona kule Ohio street, Jolly casino au Villa Park) hapana ni tafsida tu..
Wataalamu wanaendelea kusema kuwa inabd awe kahaba hasa pale unapofika muda wa mbunyuko,, inabd awe flexible,, aende kila aina ya mchezo (hawajamaansha kuruka ukuta),,hatakiw kabsa kuona aibu,,
Na ww mwanaume ukifanyiwa mambo hayo usikurupuke na kuanza kudai labda mwanamke wako ameanza kutoka njee,, la hasha
Maana wanaume wengi wanapenda hayo mambo hasa wanapokuwa na michepuko yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umnase mara ngapi?Nataka nikunase! [emoji1][emoji1][emoji1]... Uwe na Ijumaa njema bana! [emoji112][emoji124][emoji124][emoji124]
Ulishasema "Hata nikikwambia unirenge utaniuliza nikurenge wapi?. Hovyo kabisa haka kaYego [emoji16][emoji16][emoji16]Uninase mara ngap sasa?au mpaka niseme[emoji16][emoji16][emoji16]
Ikawe njema kwako pia,usiku mwema
Mbio tayari. Jizazi...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Crowding together ya mapera au ugali wa mtama weka mbali na watoto
Hahahahaha! Hii itakuwa ya ugali wa mtama.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Crowding together ya mapera au ugali wa mtama weka mbali na watoto
Kufungwa kamba[emoji23]Shida kubwa kwenye ndoa ni komyunikesheni. Ai repiti. KOMYUNIKESHENI. Watu wanaoneana aibu. Una fantasy yako na vitu unavyovipenda. Badala ya kumwambia mwenzako unakwenda kumwambia mchepuko. Unakuta mtu anapenda kufungwa kamba au kuzabwa makofi na hata kufinywa mpaka alie kama mtoto mdogo wakati akigegeda. Badala ya kumwambia mkewe anaona aibu anakwenda kutafuta mchepuko. Whai?
Kuna mama mmoja alikuwa mashuhuri sana kule Masaki 2010s na kwake migari ya thamani ilikuwa haikauki mijibaba inapishana. Watu wakadhani ni kahaba wa kimataifa kumbe sivyo. Ilikuja kubainika kuwa yeye alikuwa anatoa huduma ya kuwaridhisha wanaume wanaopenda "kuchezewa" na hata "kukitwa" eneo fulani tu na kupigishwa kwata la mikono na mengineyo. Wanasema alikuwa anachaji mpaka dola $2,000 kwa session moja ya masaa mawili. Marenji rova na maleksazi mengine ya waume za watu yalikuwa yanamiminika pale. Whai? Ina maana wake zao hawa walikuwa hawawezi kuwafanyia waliyokuwa wanafanyiwa na huyu mama?
Mama hata akigeuka kahaba kitandani bila mume kusema hasa anachopenda pamoja na fantasy zake ni kazi bure. Mama atabinuka wee lakini mume atatoka hapo atakwenda kwa mchepuko wake kupewa anachopenda. Ova !!![emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ngoja nimuuzie Harmo rappa hii mistari.Mistari ya kueleweka sana hii prof. Aliyeitunga atakuwa amebobea kwenye mambo ya urari na mkong'osio. Hapo ni kuongezea beats tu na mtu anayejua kufoka foka tayari unapata bonge la songi [emoji16][emoji16][emoji16]