[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku kwetu hakuna mambo ya hatimiliki. Wampe kibali Mzee Mbanga hata kama injini ni ya Tata Motors bana. Yeye si kaunda body na kupanga viti vizuri?
Kwema lakini shemeji? Dadangu na wapwa hawajambo?
Aiseeh!!
Ile siku haiwezi kusahaulika kabisa. Pyaar alilijibu alivyo ruhusu "kufukunyuliwa" kwa namna yoyote ile. Yaani ilikuwa raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujasahau ule mfumuano hevi eeh!?
Nywele zipi? Swali hili halikujibika [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku hizi kila mtu na sahani yake,wengi hawali kwa mkono tena bali kwa vijiko,kisu na uma.
Huku kwema kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika Mungu ni mwema,tupo vizuri kabisa. Unaendeleaje ndugu yangu?
Hiyo ni kazi ya michepuko. Nyie ni kifo cha mende tu tena na sala juu kabla ya kulaliana. Boriiiiiiiiiiiiing [emoji16][emoji16][emoji16]Communication[emoji736][emoji736][emoji736]huu ndo mzizi wa mahusiano mazuri.
Mkitaka kuchapwa viboko mseme jamani[emoji23][emoji23]
Roho mbaya hiyo. Mengine unamwachia Mungu tuMimi ningemrudisha alikotoka,haki tena
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni kazi ya michepuko. Nyie ni kifo cha mende tu tena na sala juu kabla ya kulaliana. Boriiiiiiiiiiiiing [emoji16][emoji16][emoji16]
safiii