Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Si wamuue tu lijulikane moja. Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Ombeni namba jamani[emoji23][emoji23][emoji23]

‪Biswajit Poddar (29) Raia wa India ameweka mabango ya matangazo 4000 mjini Burdwan yenye taarifa zake kumtafuta Mwanamke aliyempenda baada ya kumuona kwa mara ya kwanza kwenye treni, Poddar anadai Mwanamke huyo alionesha dalili za kumpenda lakini hakubahatika kuchukua namba zake.‬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…