[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimemkumbuka andjul na hashua zake za mbuzi kwa sokota[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hashua
Naona mchezo umeisha leo,wameuza items 10 tu inavyosemekana.Hatujaelewana.
Habari ndiyo yenyewe, sema nahisi tunapumbazwa tu kuhusu uuzwaji wa hayo makontena.
@Mohabbat par itna yaqeen
Hahahahaha! Yaani...Mie nilijua kamekomaa kidogo, kuna siku rafiki yangu mmoja wa kiume akanambia yule brown mdogo wake wa hiyari akanambia na mwaka wake wa kuzaliwa nikastaajabu sana..[emoji23][emoji23]watoto wa siku hizi wanabeba sana mizigo isiyokuwa yao
Kumbee!Basi ilikuwa script hiyo maa
[emoji23], nacheka kama mazuri vilePole sana bro. Ina maana kende bado zinauma mpaka sasa au zimeachia?
Nadhani wanatuzuga tu, kufunika kombe mwanaharamu apite.Wanunuzi wanaogopa ule mkwara wa laana ama? Huyu bwana mdogo hamalizi kasheshe . Hata kama ni chosen son wa big dadi but geez...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kwenye wimbo tu
Hatujaelewana.
Habari ndiyo yenyewe, sema nahisi tunapumbazwa tu kuhusu uuzwaji wa hayo makontena.
@Mohabbat par itna yaqeen
Hahahahaha! Yaani...Mie nilijua kamekomaa kidogo, kuna siku rafiki yangu mmoja wa kiume akanambia yule brown mdogo wake wa hiyari akanambia na mwaka wake wa kuzaliwa nikastaajabu sana..
@Mohabbat par itna yaqeen
Hata hizo items sidhani.Naona mchezo umeisha leo,wameuza items 10 tu inavyosemekana.
Nadhani wanatuzuga tu, kufunika kombe mwanaharamu apite.
@Mohabbat par itna yaqeen
Huyu ni Isabel Dos Santos. Ni binti wa aliyekuwa rais wa muda mrefu wa Angola Eduardo Dos Santos. Enzi za baba yake alitajirika sana kwa sababu makampuni yake ndiyo yalikuwa yanapatiwa tenda kubwa kubwa zote mpaka akafanikiwa kuwa Oprah Winfrey wa Afrika - mwanamke tajiri kuliko wote Afrika. Kwa sasa anatumiwa kama mfano mbovu kuelezea dhana kwamba ufisadi (ukiwemo ule wa kutisha) hauchagui jinsia na hata wanawake wakiwezeshwa wanaweza kuwa majoka makengeza.Kwani nani huyu mkuu?
Slope mama..Wamekuwa wazembe sana..Siku hizi watoto wa kiume wakishaota ndevu tu basi wanajiona wamekua sana.
Halafu watoto wa kiume sijui wamekumbwa na nini sikuhizi yaani wanapenda kulelewa,kazi hawataki tunashindana nao kudanga tu mjini mfyuuu[emoji36][emoji36]
Iginoa listi inakuhusu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] [emoji3] [emoji3] amenza kunifundisha[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimemkumbuka andjul na hashua zake za mbuzi kwa sokota
Hata hizo items sidhani.
@Mohabbat par itna yaqeen
Wanatung'ong'a visogoni[emoji23][emoji23][emoji23]Na mwanaharamu kesha pita.
Saiz wamekaa tu huko wanacheka na kusema hiiiii[emoji23][emoji23]
YaaniHii script maa,tushapotezwa hapa.
We unadhani dadii angesema hadharani kwamba hi isi kamingi??
Mimi sili hizo kakakeMishikaki ya hashua za mbuzi[emoji3] [emoji3] ulishawahi kula hizo dadangu? Hizo ni kama unga ukionja huachi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]