Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna dr mmoja aliwahi nambia kama mwanaume kichupa kimejaa(hajakutana muda mrefu na mwanamke)kuna hali inatokea ya kuumwa na kende zinakuwa kama zinavuta(kuna watu huita ngiri),dawa yake ni kumwaga tu.

Nenda hispitali kijana
Tena yeye zimeanza kuuma baada ya kuchezea konokono kwa muda mrefu. Nadhani pisitoni za injini zilikuwa tayari zimeshajikoki; na lubricants na oil ile nzito nyeupe tayari tayari. Baada ya safari kuahirishwa na injini kupozwa kwa lazima, pistoni naona zimegoma kurudi kwenye hali yake ya awali. Ama anaweza kujimwagisha oil halafu asubiri aone kama pistoni zitajitegua na kurudi sawasawa ama atahitaji msaada wa daktari kama ulivyoshauri.
 
Yaani kwa vyovyote vile hili ndo tatizo.
Jamaa alishajiandaa na mchezo sasa akapewa redi kadi lazima asikie haya maumivu.
Afuate huu ushauri aone kama itaendelea ama laa
omarion5
 
Siku hizi watoto wa kiume wakishaota ndevu tu basi wanajiona wamekua sana.
Halafu watoto wa kiume sijui wamekumbwa na nini sikuhizi yaani wanapenda kulelewa,kazi hawataki tunashindana nao kudanga tu mjini mfyuuu[emoji36][emoji36]

Hahahahaha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] watoto wavivu balaa, kuna siku tulikuwa kilioni nikamwambia kijana wetu mmoja 23yrs achanje kuni, "bamdogo siwezi hiyo" niliichokaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Naona mchezo umeisha leo,wameuza items 10 tu inavyosemekana.
Hili sofa limenunuliwa? [emoji116][emoji116][emoji116]. Nilikuwa nalitaka hili. Nimemtafuta Dr. Shika aende akanisimamie kuweka dau lakini sikuweza kumpata...

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila Bongo tumeiva kisiasa sasa. Trump naye anatumia mbinu hizi hizi. Kukiwa na ishu kubwa basi anatweet matusi au anaanzisha ligi tu isiyo na maana. Vyombo vya habari wanahangaika nayoo kuja kushtuka ile ishu sensitive inayohusu mustakabali wa nchi ishapita.

Imagine ile ya kupima ukubwa wa samaki kwa rula - tena mkahawa wa bungeni kabisa...Hata na hii. Nchi nzima ni makontena ya Makonda. Kuja kushtuka jambo kubwa limeshatokea au limezimwa.
 
Uko sawa kabisa mkuu.


@Mohabbat par itna yaqeen
 
Siku hizi watoto wa kiume wakishaota ndevu tu basi wanajiona wamekua sana.
Halafu watoto wa kiume sijui wamekumbwa na nini sikuhizi yaani wanapenda kulelewa,kazi hawataki tunashindana nao kudanga tu mjini mfyuuu[emoji36][emoji36]
Wanaona maisha ya kwenye shows na movies. Hata mipicha hii ya ngono. Hawaoni hata umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii, shule na ku-hussle. Mambo yamebadilika sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…