Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]nisje jikwaa bure. Umeona prof kawa muhindi naudeiz
Kaone. Kananusa nusa huku na huko. Ukikategea ubuyu hata kama ni Argentina katakuja tu. Safari nyingine ili kukanasa nitadanganya kaje Gold Crest kwa sababu nina ubuyu wa kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Liver wako on fire mseme mnavyotaka lakini moto umewaka
 
UONGOZI WETU NA HATIMA YA TAIFA LETU
Kati ya hazina kubwa za fikara ambazo Watanzania wanayo katika ujenzi wa taifa lao ni fikra za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo ni pamoja na kuelewa nadharia na falsafa zake
kuhusu maendeleo, uongozi, na suala zima la ujenzi wa taifa jipya. Kwa kiasi fulani (wengine
wanaweza kusema kiasi kikubwa) kipo kizazi cha Watanzania ambacho kinajaribu kufuta, kudharau, na hata kusahau hazina hii ya fikra. Ni lengo langu kutoa changamoto kwa kizazi hicho kwa kuchapisha kijitabu hiki cha Mwalimu kwa mtindo na namna hii na hivyo kuyaleta mawazo ya Mwalimu kwa kizazi kipya.
Wakati Mwalimu anaandika kijitabu hiki kidogo mwaka 1994 taifa letu lilikuwa linakabiliwa na
changamoto kadhaa za kihistoria ambazo ndizo zilimfanya kuingilia kati na kuandika kijitabu hiki
ambacho kilikuwa kama nasaha, onyo, na usia kwa Watanzania.
 
Lete soft copy mkuu kama unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…