mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sijawahi kukutana naye kwa kwelihalafu wewe na moudgulf kama munalingana kiuandishi na cha ajabu nyote munashabikia liverpool.
hivi mushawahi kuonana?
jurgen klopp mwaka huu anaweza kuwatoa kimaso maso.
Mkuu karibu sana kwenye hili jukwaa. Nimeiona sipidi yako ya hizi quotations. Safi sana. Zinafundisha mengiThe successful people of this world take life as it comes. They just go out and deal with the world as it is. Ben Stein
pia ni jambo jema kutokukutana nahofia siku ya makutano yenu mutaijadili liverpool kutwa nzima.Sijawahi kukutana naye kwa kweli
Unaonaje ukiiweka hapa hapa? Ni kakitabu kadogo sana kale naamini hata MB 1 hakazidi. Hebu jaribu mkuu. Ikishindikana nitakutumia email yangu inbox. Nilikuwa na soft copy kompyuta ikafa nayo. Nitashukuru sana kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]nitakutumiaje sasa?
Nasikia Dr. Shika kalinunua hili trekta lililokuwa linapelekwa kwenye shule za kilimo [emoji16][emoji16][emoji16]
Lete soft copy mkuu kama unayo.
AhsanteMkuu karibu sana kwenye hili jukwaa. Nimeiona sipidi yako ya hizi quotations. Safi sana. Zinafundisha mengi