D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nilikuwa nimesahau kama kuna sehemu ya attach.Unaonaje ukiiweka hapa hapa? Ni kakitabu kadogo sana kale naamini hata MB 1 hakazidi. Hebu jaribu mkuu. Ikishindikana nitakutumia email yangu inbox. Nilikuwa na soft copy kompyuta ikafa nayo. Nitashukuru sana kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yupo vizuri sana hali ya jana uliona mwenyewe kutoanza kwake kulikostpia ni jambo jema kutokukutana nahofia siku ya makutano yenu mutaijadili liverpool kutwa nzima.
hahahahahahaaaa
umemuonaje naby keita anaweza kuwafikisha nchi ya ahadi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikia Dr. Shika kalinunua hili trekta lililokuwa linapelekwa kwenye shule za kilimo [emoji16][emoji16][emoji16]
GetegeteMkuu ASANTE SANA SANA TENA MNO KABISA KABISA...
WABEJA GETE GETE [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pamoja mkuunilikuwa nimesahau kama kuna sehemu ya attach.