Niliwasiliana na bro Omarion5 akanipa mbinu. Nikajipigilia na mi Chardonnay. Tatizo kwisha [emoji16][emoji16][emoji16]Vipi jana usiku hali ilirudi kuwa sawa??
@Mohabbat par itna yaqeen
Huyu dada kichwa chake huwa sikielewi kabisa.
Mechi saa ngapi kaisiki?Alisema: “Ninaposhinda, siku zote nakuwa wa kwanza kuondoka uwanjani, lakini unapofungwa, inakubidi ubaki uwanjani na kuona nini kinachoendelea, nipo hivyo.”
Mourinho aliweka wazi kabla ya msimu kuanza kwamba Klopp atakuwa kwenye presha kubwa sana kama Liverpool haitabeba ubingwa wowote kwa msimu huu kutokana na uwekezaji uliofanywa kwenye timu pamoja na matumaini ya mashabiki na mabosi wake.
Mwenyewe anajiona mjanjaHuyu dada kichwa chake huwa sikielewi kabisa.
@Mohabbat par itna yaqeen
Kwanini kujipa shida yote hiyo???Niliwasiliana na bro Omarion5 akanipa mbinu. Nikajipigilia na mi Chardonnay. Tatizo kwisha [emoji16][emoji16][emoji16]
duh ni miaka 27 iliopita, yaani tokea baba na mama yangu hawajakutana kimahusiano.Ushindi huo wa nne mfululizo unawafanya Liverpool kuwa na rekodi tamu kabisa ya mwanzo wa msimu ikiwa ni mara ya kwanza tangu 1990/91, kipindi hicho Kop walikuwa matata ndani ya uwanja. Lakini, Klopp kwa sasa amewarudisha Liverpool katika zama zake za kutamba.
Kumi na mbili kamili jioni.Mechi saa ngapi kaisiki?
Baba mtoto kazi anayo.Mwenyewe anajiona mjanja
HahahhahaVyuma vimekaza [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 854323
HahhahaaJOSE Mourinho bana, huwa haishiwi cha kusema baada ya kutoa kauli ambayo moja kwa moja imeonekana kuwa ni kijembe kwa kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Mreno huyo kwa sasa yupo kwenye presha kubwa huko Manchester United baada ya kikosi chake kushindwa kufanya vizuri kikichapwa kwenye mechi mbili kati ya tatu ilizocheza kwenye Ligi Kuu England.
Mourinho aliulizwa kama bado atajihesabia kuwa kocha mkubwa kama atashindwa kubeba ubingwa wa ligi na Man United, alijibu hivi: “Hivi hilo swali mnamuuliza kocha aliyemaliza nafasi ya tatu au ya nne kwenye ligi?”