carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooooiiiii natamani hako kapicha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaa!Mara moja moja nikiamuaga hasa kama niko maeneo ambayo sijulikani.
Kaliposhindwa kutokea nilikwenda pale Mwanza hoteli kubung'aa bung'aa mabinti fulani hivi wa kishua maajenti wa tiketi za ndege wakawa wanajigonga "oooh braza umependeza mno. Mambo?". Kumbe mi moyoni mi hasira kibao ya kupotezewa na haka nilikokuwa nadhani ni kabageshi. Ningekuwa najua kuwa ni kaisiki wala nisingehangaika wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Na mimi pia. Kama bado anapambana na jiwe lake nitakwenda nikaweke hii GIF halafu nikimbie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nitamtembelea huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooooiiiii natamani hako kapicha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaa!
Askofu alifaudu. Kashika titi kwa muda mrefu sana Ariana kidogo alegee [emoji16][emoji16][emoji16]Askofu aliyeongoza ibada ya mazishi ya Aretha Franklin aomba msamaha kwa kumshika kifua msanii Ariana Grande
Askofu huyo aliyeongoza ibada ya mazishi ya gwiji wa muziki nchini Marekani Aretha Franklin ameomba msamaha baada ya kushutumiwa kwa kumgusa kifua mwanamuziki Ariana Grande mbele ya umati mkubwa uliohudhuria mazishi hayo.
Picha zinamuonyesha Askofu Charles H Ellis wa tatu akimshika Ariana juu ya kiuno chake huku vidole vyake vikiwa vimeshikilia upande mmoja wa kifua chake.
''Sio lengo langu kumshika mwanamke matiti'', aliambia shirika la habari la AP.
''Pengine nilivuka mpaka, pengine nilijihisi kuwa karibu naye sana kama rafiki''.
Kweli!!
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Amina shem[emoji120][emoji120][emoji120]
Kawe na siku yenye baraka,usisahau kuombea na wenye uhitaji Mungu awafanyie wepesi[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ukachomeshwa mahindi.Mara moja moja nikiamuaga hasa kama niko maeneo ambayo sijulikani.
Kaliposhindwa kutokea nilikwenda pale Mwanza hoteli kubung'aa bung'aa mabinti fulani hivi wa kishua maajenti wa tiketi za ndege wakawa wanajigonga "oooh braza umependeza mno. Mambo?". Kumbe mi moyoni mi hasira kibao ya kupotezewa na haka nilikokuwa nadhani ni kabageshi. Ningekuwa najua kuwa ni kaisiki wala nisingehangaika wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Habari za mchana huu
Habarini za jumapili
Ulipotelea wapi jirani? Homa yako bado inakusumbua ama?Salam kwenu woote