Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✔
 
SURA YA KWANZA
MAPENDEKEZO YA NYALALI HAYAKUTOKANA NA WANANCHI
​

Jambo la kwanza ambalo lilimsumbua Mwalimu ni jinsi gani hoja ya Tanganyika ilivyoletwa na kufikia ilipofikia. Mwalimu aliona hoja hii wala isingekuwa na nafasi kama viongozi wangeweza
kuishughulikia mara moja kwa kutoa majibu ambayo ni ya kihistoria na ya kimantiki. Aliweza
kuthibitisha kwa vielelezo kuwa hoja ya Tanganyika haikutokana na mapendekezo ya wananchi bali tume ya Jaji Nyalali ilionelea ni bora kutoa pendekezo hilo. Kwa Mwalimu, CCM tayari ilikuwa na majibu yake kuhusu suala la serikali tatu, kwamba sera ya CCM ni serikali mbili na sababu zakezilikuwa zinajulikana.

Kitendo cha uongozi wa Chama na serikali kuliendeleza suala hili hadi kufikia Bunge kutoa Azimio la kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ndani ya “Muungano” kilikuwa ni kitendo kilichoonesha uwezo mdogo wa kuhimili vishindo, uongozi duni, na utetezi dhaifu kabisa wa sera za chama. Nyerere alijikuta ni mtu pekee ambaye yuko tayari kusimamia kanuni bila ya kujali gharama au kuangalia sura za watu. Alinyosha mkono juu tayari kuhesabiwa
 
Hii kali
 
Kuna usalama kweli kwa wengine.....!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…