Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo DIDDY'S Masaki huku kuna visichana havitaki tozi wanataka vizee tu dadeki bora nitimkie huko ulipo madafanta.


Ndukiiiii is πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kwa wenye magari ukitoka pale Calabash kama unaingia Sam Nujoma Road inabidi muwe makini maana usiku madereva Sam Nujoma Road mwendo wao wanaujua wenyewe,Road About ya Mlimani viajali vimekuwa vikitokea mara Kwa mara
Hahahaha, daaah.
Usiku ni muda wa malena na walevi mzee!
Tena wikendi ndiyo vijana wakiwa vyombo inakuwa balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…