very interestingmtu mmoja mwenye tabia njema ni mbora zaidi kuliko wajinga 1000,ni sawa sawa na mwezi mmoja wenye kuangaza ulimwengu mzima haliyakuwa nyota 10000 haziwezi kuleta mwangaza ulimwengu mzima.
kwel kabsaa 😭😭😭😭😭UCHUNGUZI UFANYIKE ILI KUZUIA MAJANGA MENGINE KAMA HILI..
Amina!!MUNGU AWAHIFADHI PEMA WOTE WALIOTANGULIA...
Very interesting 👫👬👭❤❤❤❤❤yeyote anayekuwa pamoja nawewe wakati wa raha, shida, ukame, vita na hata baada ya kifo ndio rafiki wako wa ukweli
View attachment 873652
Hatupoi💪Wamepoa
asante kwa kuniongezea maarifa1.HAKUNA RANGI/ANGAVU
Unakunywa maji mengi sana
2.RANGI YA MAJANI MAKAVU YA NGANO
Uko sawa kiafya
3.NJANO ANGAVU
Uko sawa kiafya
4.NJANO ILIYOKOZA WEUSI
Uko sawa lakini jitahidi kunywa maji ya kutosha.
5.RANGI YA ASALI
Mwili wako haupati maji ya kutosha
6.KAHAWIA ILIYOKOZA WEUSI
Uenda una tatizo la ini
Uenda hunywi maji ya kutosha.Jitahidi kunywa maji ya kutosha sasa na endapo itaendelea mwone Daktari
Pongezi kwake