Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ugali jamani tuacheni utani. Nimeshawahi kubadilisha daktari kisa kunikoromea mara kwa mara eti niache kula ugali mara kwa mara. No ugali no laifu [emoji16][emoji16][emoji16]Mkoromije orijino akionja ugali
carbamazepine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 876595
Hakuna mhandisi wa umeme atakayefunga umeme wa moto kwenye mti hai. Hiyo ni photoshopUmeme vijijini, Aseeee. Hapo mti uking'oka kwa upepo mtaa mzima hauna umeme
Kolabo hawa haitawaacha salama. Lazima watatoka na serious birth defects tu hapoHapo wakipigiana kolabo inabaki siri ya familia sio kwa kopi hizo
Si umwambie wakoraaaa. Enzi lugha yako [emoji16][emoji16][emoji16]Wabhejaaaa
Yeuwii jamani!Walimu waliopoteza maisha katika ajali ya Nyerere
1.Badebi M. Masunga s/m mabule ukerewe
2.Augustine Malindi S/m Bukungu ukerewe
3.Albert Mongele s/ m Amani Ilemela
4.Ligwa Lubinza s/m Nyang'ombe ukerewe
Nb. No 1 na 4 ni mtu na mkewe wameacha mtoto mchanga.
Mwenyezi Mungu anasema kufa kwetu ni mtililiko mahsusi wa kupeana nafasi hapa Duniani. Tujiulize bibi zetu wawili wangekuwepo ( mzaa baba na mzaa mama) na babu zetu wangekuwepo na wazazi wetu wawepo maisha yatakuwaje? Turidhike tu na hali halisi kama ilivyoNdiyo imetoka hiyo. Utakumbukwa na nduguzo. Na baada ya muda hata hao nao wanakusahau...Pengine ukiwa mtu uliyetenda makuu...Lakini hata ukikumbukwa na dunia nzima, wewe kama marehemu inakusaidia nini?
Akina Mandela na akina Nyerere. Kukumbukwa kwao kunawasaidia nini kama wao? Mbwembwe tu za binadamu !!!
Aseee, ugali kama Boflo!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkoromije orijino akionja ugali
carbamazepine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 876595
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sio mtaa tu kijiji kizima