capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Rangi adimu hii
Chaga za kitanda? Bro bana. Ngoja nikutafutie link yake ya IG uzame DM. You never know broSura hii inanikumbusha chaga
Unasema tena kuwa "kote CCM inakoshinda inashinda chini ya 30% chini ya 40%, kwasababu watu wamepuuza uchaguzi, kwasababu uchaguzi umekuwa kama mchezo wa kuigiza". Duuh nimeishiwa nguvu.
Kupotea gani huko??Nipo mbebez, mambo