Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli, alisoma nyakati.
 
Pole ndugu.
Mwenyezi Mungu ana makusudi yake, majanga kama hayo yangetokea kwenye nchi zetu hizi za kilofa tungepata tabu sana
 
....Alivuka mipaka
 
Pole ndugu.
Mwenyezi Mungu ana makusudi yake, majanga kama hayo yangetokea kwenye nchi zetu hizi za kilofa tungepata tabu sana
Asante kamanda. Pamoja na ujanja wao wote bado wanapata tabu sana japo kusema kweli wanajitahidi. Sipati picha mji kama Dar upigwe na hurricane category 4. Mafuriko yake gharika ya Nuhu cha mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…