Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I[emoji16][emoji16][emoji16] ia hawa jamaa wahindi wako wengi mno....ili kutoka kimaisha huko uhindi lazima ufight sanaa..
Trump imebidi awakomalie anawarudisha nyumbani haijalishi kama ni daktari, injinia au profesa. Makampuni ya Silicon Valley yanapiga makelele kuwa yatakosa wataalamu lakini jamaa hajali. Wanasema ndiyo sababu waziri wake katika Umoja wa Mataifa (wazazi wake wanatoka India) ameamua kujiuzulu ili kupinga sera hizi.
 

Naunga mkono hoja yako, hata kwa kule kukubali kujiondoa mwenyewe ni ushindi na heshima kubwa kwake
 
Asee, Trump kimeo[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Niko salama jirani. Niko mahala hata inyeshe mawe ya kilo tano tano nitakuwa salama. Na back up ya umeme ipo ya kuaminika. Asante jirani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

[emoji16] [emoji16] [emoji16] safi sana, ila nilicheka kwamba matone ya kilo tano tano[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…