Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye msiba wa Mv Nyerere alilalamika kuwa katelekezwa kwa kuwa hakukuwa na kiongozi hata mmoja wa kitaifa wa chama chake aliyefika huko kumpa pole. Dalili zilionekana wakati huo...Nasikia Mbunge wa Ukerewe ameipiga chini Chadema, ni kweli? Sijapita Siasani huko!
waombe ama kuhasiwa au kutandikwa rungu zito, gumu na kubwa.Hahahaha!!! Mie nadhani wangekuwa na kifungo cha miaka 30 + kuhasiwa.
Kuna kaukweliHapo sasa....View attachment 894126
Utafiti una ukweli huoMwanamke ambaye haangaiki na simu ya mwanaume wake ni mwenye furaha siku zote
Utafiti uliofanywa n shirika lisilo na mipaka unaonesha mwanamke ambaye hana mda na simu ya mme wake anaishi kwa furaha na amani zaid duniani kuliko wanaohangaika kujua mme wake anampigia nani na anaongea nini, nyingine ni simu za kazi.
Achaneni na simu za waume zenu muwe na furaha.
Hakika....,Wanawake mna mavazi kila namna
Kweli, wanajitahidi kuwahi muda maana walipewa mpaka mwezi Desemba, ikishapita desemba imekula kwaoNasikia Mbunge wa Ukerewe ameipiga chini Chadema, ni kweli? Sijapita Siasani huko!
Una akili sana prof [emoji122][emoji122][emoji122]Mwanamke ambaye haangaiki na simu ya mwanaume wake ni mwenye furaha siku zote
Utafiti uliofanywa n shirika lisilo na mipaka unaonesha mwanamke ambaye hana mda na simu ya mme wake anaishi kwa furaha na amani zaid duniani kuliko wanaohangaika kujua mme wake anampigia nani na anaongea nini, nyingine ni simu za kazi.
Achaneni na simu za waume zenu muwe na furaha.
50/50Utafiti una ukweli huo