Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro unakumbuka mbali...ila moto ulioniwakia siku ile sitakaa nisahau. Kidogo nitupiwe suruali zangu nje aisee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hii comment imenikumbusha ulivyomfumua nywele yule dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila yote kwa yote haya mambo ni Magumu sana
Hujaacha tu......?Malast borns wote na tuseme uwongooooooo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 900156
With time....the Love will Grow....Time is always limiting factor
Bro unakumbuka mbali...ila moto ulioniwakia siku ile sitakaa nisahau. Kidogo nitupiwe suruali zangu nje aisee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kitu. Hii ni ishu nyingine kabisa inahusu nywele. Slei kwini mmoja aliniambia nimsaidie kufumua dread locks zake sasa mimi nikajifanya mjanja kupita njia ya mkato nikachukua mkasi nikawa nazikata huku mkiani kumbe nikawa nakata na nywele zake. Baada ya kumaliza kumfumua alikuwa kama mbuni aliyekoswa koswa na radi. It was a huuuuuge fight [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe Kaka Shimba anayajua?
Kuna jibu nimepewa mpaka leo nawaza nipangue hoja viph
Niwache? Halafu nifanye nini tena hapa duniani? Mwanaume haachagi mpaka aingizwe kwenye jeneza ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Hujaacha tu......?
Lucky youMbona kama umeshakata tamaa?
Ya kawaida sana...
Kabisaaaa...Kumbe kinyume na nilivyo fikiria
Hakuna kitu. Hii ni ishu nyingine kabisa inahusu nywele. Slei kwini mmoja aliniambia nimsaidie kufumua dread locks zake sasa mimi nikajifanya mjanja kupita njia ya mkato nikachukua mkasi nikawa nazikata huku mkiani kumbe nikawa nakata na nywele zake. Baada ya kumaliza kumfumua alikuwa kama mbuni aliyekoswa koswa na radi. It was a huuuuuge fight [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimekumbuka bcoz nilicheka sana ile siku...Bro unakumbuka mbali...ila moto ulioniwakia siku ile sitakaa nisahau. Kidogo nitupiwe suruali zangu nje aisee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Niwache? Halafu nifanye nini tena hapa duniani? Mwanaume haachagi mpaka aingizwe kwenye jeneza ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
For them, it is easier. With a constant throng of men flocking to them; they can choose whoever they want.Lucky you
If these things are normal to you
How is it possible
Siku ukihitaji huduma umcheki.Mimi sitosema sana.Kumbe Kaka Shimba anayajua?
Lucky you
If these things are normal to you
How is it possible
I believe love is not like energy law's, that it can neither be created nor destroyed
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 900095