Sure, hasa urembo wa nywele, wanajali sana nywele hawa dada zetu.Nilijifunza somo kubwa sana siku ile. Linapokuja suala linalohusu urembo kwa mwanamke aisee kaa mbali....Tangu siku ile niko mwangalifu sana. Hata akiniambia nibrush wig lake aisee sikubali kwa sababu ukikosea kidogo tu likanyonyoka moto utakuwakia mpaka uombe poo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli umejifunza....Siyo nywele tu. Kila kitu. Siku hizi hata kutumwa kwenda kuleta kitu madukani sitaki unless aniambie specific brand na idadi ijulikane kabisa. Vinginevyo utakosea tu na ukirudi moto utakuwakia...
Eti hebu pitia nywele hapo kwa Dada Asha kesho nataka niende nazo saluni aisee sikubali.
Really?Love is optional it's not basic needs
Sifumuagi mimi. Nakataga tu...Yaani kaka yako ni zaidi ya huyo pro, na wigi atakununulia bure kabisa akishafumua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shukrani...ungetupa na VYUO vya kuunganishia....
Au akimaliza Chuo ni UDOM?
To Love and be loved is a basic human need bro. Endelea kupambana tu lakini usijifariji hivi.Love is optional it's not basic needs
Tehetehe B moja imeleta shida kweliSiku hizi upo veri bize...Ama ndo mambo ya billioni 1??
Mengi mno, apatikane akiwa salama tuu.Kuna maswali mengi sana kuhusu kutekwa kwa Mo sijui wacha tuone muda unavyosonga kuna kitu kinaweza kutokea
@bbadeSifumuagi mimi. Nakataga tu...
Vi extension vimeshonwa vidogo vidogo kichwa kimejaa kuvifumua vyote yaweza kuchukua masaa. Kuvikata mapingili inarahisisha kazi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kocha anatakiwa ajue bila simba na yanga timu ya taifa hakunaTanzania wawarudishia Cape Verde bao zao mbili...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anzie kwa kalumanzilaNipo prof, huwa nnawasoma kimya kimya tuu [emoji846][emoji846][emoji846].
Hii bilion moja mwili u radhi ila sijui hata nnaanzia wapi.
I am really not sure [emoji28][emoji28][emoji28]Really?
Kama pilipili ama
Muda mrefu sana umepita. Kwa takwimu za FBI, mtekwaji asipopatikana within 48 hrs, uwezekano wa kumpata akiwa hai unaporomoka mpaka 20% japo inategemea lengo la watekaji. Kama ni ransom wanataka wawekewe pesa electronically kwenye akaunti zao mafichoni huko bila shaka wangekuwa wameshafanya hivyo. Yote kwa yote ni kuomba Mungu tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Mo bado kijana sana ...Mengi mno, apatikane akiwa salama tuu.
Kina kalumanzila sijawahi kuwaamini, yaani hali zao zilivyo washindwe kuivuta bilion 1 kwa ajili yao wanisaidie mimi kwa gharama ya kuku mwekundu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anzie kwa kalumanzila
Hivi Maslow alizungumzia sex au love? ??To Love and be loved is a basic human need bro. Endelea kupambana tu lakini usijifariji hivi.
Ni kweli bro, ngoja tusubirie.Muda mrefu sana umepita. Kwa takwimu za FBI, mtekwaji asipopatikana within 48 hrs, uwezekano wa kumpata akiwa hai unaporomoka mpaka 20% japo inategemea lengo la watekaji. Kama ni ransom wanataka wawekewe pesa electronically kwenye akaunti zao mafichoni huko bila shaka wangekuwa wameshafanya hivyo. Yote kwa yote ni kuomba Mungu tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Mo bado kijana sana ...
Elfu kumi TshHili nalo neno [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 900154
Elfu kumi TshHili nalo neno [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 900154