nilikuwaga chizi music sana miaka kadhaa nyuma .. lakini now day's nime punguza baada ya kuamua kuji control ... ila music ndio kitu nacho kipenda kuliko kitu chochote kile dunianiMusic is part of my life mkuu
Indeed umenigusa
Haogopi mtu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha uoga wewe.
Inachanganya
carbamazepine upo?Mwanaume kusherehekea bday ni umama
Hii sikuwahi kuona ...Hapana hata katika vitabu vya dini sherehe zote za kuzaliwa ziliambatana na vifo au mauwaji sio tukio muhimu kabisa
Aisee ni wengi mno.Hawa wabunge wa Kenya vipi? Mbona wameandamwa na kansa kiasi hiki? View attachment 900239
Zulu London. Kazuri sana !!!
Sijaisiki hiyo kesi kiundani naisikia kwa juu juu tu na sijapata muda wa kuifuatiliaAisee ni wengi mno.
BTW umeisikia hiyo case ya Jowie na Maribe?
Sidhani kama kuna taifa ambalo limefanikiwa kutokomeza machangudoa. Ukiwapa mitaji hawa wataibuka wengine tena wadogo zaidi. Hii ni biashara kongwe kuliko zote hapa duniani...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]Wataacha wakipewa mitaji ili wajikwamue na ugumu wa maisha,sidhani kama kuna mwanamke anaependa kujiuza.