Na watapata taabu sana wallahi...Hawataki LAST-SEEN zao kuonekana kwa wapenzi wao[emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yanapokuja PM unafanyeje? Unayaanzishia lekcha au?
Fyekero hata wiki halijamaliza lakini linapiga stori za zamani enzi za akina Rutta na akina Kichwa Kichafu. Inawezekanaje hiyo?
...or the world against you...Me Against the world
In isisi voiceNa watapata taabu sana wallahi...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwani hii whatsapp ya kawaida ina tatizo gani kamanda mpaka kuhangaika kote huku?
WalahiIn isisi voice
Hapana bro. Mtu unaangalia id yake kajiunga 24/10/2018 lakini tayari anajua stori kibao za kwenye uzi husika. Utamuelewaje mtu huyo? Na wengine anakuja kukusalimia mpaka PM sijui ndo anakutega hata sijui ishu ni nini. Utajua tu bro wala huhitaji sofutiwea...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bro mimi nashindwa kabisa kuwatambua wewe unatumia njia gani au ndiyo Ile software yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahau bro ,alikuweza kweli yule mwanamkeMdada kapendeza. Sasa hapo siku ya siku uombwe kumfumua halafu ujifanye mjanja utumie mkasi huko nchani ujichanganye ukate nywele zake. Moto utakaokuwakia mpaka utakwenda kutafuta ushauri nasaha aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]