Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daaah bro huyo Meghan nilikuwa namuelewa kitambo
Unamuelewa nini bro? Flati skrini kabisa hakuna kimsambwanda hata cha kuombea maji. Ila ana sura nzuri sana...

Mama Mchungaji huyo mpaka akavujisha picha za uchi mifarakano ikaanza. Kumbe mume naye alikuwa na mchepuko permanent ndoa hiyoo chali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…