Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmmh,,umeanza ln kutoa update za game,,,kumbe ndio maana united tupo na msimu mbayaa toka ligi imeanza
Leo ilikuwa ni kupatwa kwa carba,nimeangalia mpira dk90 zote bila ridhaa yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie mko na msimu mbaya sababu team yenu ishakuwa ya mchangani[emoji23]
 
Leo ilikuwa ni kupatwa kwa carba,nimeangalia mpira dk90 zote bila ridhaa yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie mko na msimu mbaya sababu team yenu ishakuwa ya mchangani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmeshajua kwann tupo na hali mbaya,,,Mungu anakuona carba kuita united timu ya mchangani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…