Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezo uliokuwa unatazamiwa zaidi ni kati ya Liverpool dhidi ya Cardiff city ambapo majogoo wa jiji la Liverpool imeibuka na ushindi wa goli 4-1.
Magoli ya liverpool yamefungwa na Sadio Mane 2, Mohamed Salah 1, na Shaqiri amefunga goli 1.
Ushindi wa Liverpool unaipeleka timu hiyo kileleni mwa msimu kwa kujikusanyia alama 26 juu ya Manchester City ambayo ina alama 23 na itakuwa na mchezo siku ya Jumatatu dhidi ya Tottenham Hotspurs.
 
Matokeo ya michezo mingine
Watford wameshinda goli 3-0 dhidi ya Huddersfield Town
Fulham wakapata kipigo cha 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth
Southampton wamekutana na wabishi Newcastle United na kutoshana nguvu ya bila bila
Brighton & Hove Albion imeshinda goli 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers
Mchezo utakaopigwa baadae ni kati ya Leicester City dhidi ya wagonga nyundo wa London West Ham United.
 
Kesho Jumapili kutakuwa na michezo mitatu Burnley itachuana na Chelsea 'The Blues' Crystal Palace watakuwa nyumbani kucheza na Arsenal, katika uwanja wa Old traford, Manchester United watacheza dhidi ya Everton.
 
Asante!! Labda mabinti wengine, nilikuwa makini sana kuwanyonyesha watoto wangu wote wanne (4) + huwa nikiingia mazingira ya home najiachia mwili wote upumue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…