Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msukuma ni nani?
Msukuma ni mtu anayepika ugali wa watu watatu halafu anaumaliza wote kwa kuonja tu.

Siyo kwamba msukuma wa kweli ni yule anayepiga ugali mkubwa na mdogo, na anautumia ugali mdogo kama mboga ya kulia ugali mkubwa?

Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…