Mwafrika ana mira zinazojitosheleza, binafsi nazikubali, kwenye suala la familia nayakubali mambo mengi yanayoongozwa na mira zetu ingawa sikubaliani na vipigo eti ni chanzo cha kuonyesha upendoWala mie shemegi yenu Alhamdulilah ananisaidia sana Na wala hajali wengine wanaonaje tena hujiproud asa.
Ulale salama uamke salama kaka.
Mkuu natambua uwepo wako, habari ya kuamka kamanda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ngoja niishie hapo!!!
Salama kabisa. Huko vipi? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu natambua uwepo wako, habari ya kuamka kamanda
Amin[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2321][emoji2321][emoji2321]View attachment 914657
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], VIPORO sio vizuri bwana hata kama ni kipindi cha hari.. Kumbuka hicho ni chakula cha mwenzio.Mara moja moja siyo mbaya prof...au una maoni gani ya kitaalamu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], upishi nao kipaji.[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hata mimi huwa nasaidia kupika, kufagia, kuosha vyombo nk, ila fahamu hata dini hizi tulizonazo zimetukataza ulevi lakini watu wanalewa, uzinzi,uongo,udokozi nk, lakini yote yanfanyika. Nachosema hapa ni kuhusu miongozo ya dini za kale za mwafrika basi. Kuzifuata au laa ni suala la mtu mwenyewe.Sio kweli, mbona wanatusaidia kupika na kupakua??? Kama tatizo ni kumuhofia ndg. atasema nini, basi akiwepo ndg.wa mwanaume amuachie mkewe afanye kila kitu.