Mkuu umevikumbuka?!!....Oxford English course, havipatikani kabisa labda Kenya
Mbona hakuna cha ajabu hapo? Mara nyingi inakuwa ni stroke. Kuna utafiti mpya sikumbuki nilisoma wapi wanasema kwamba kama kuna tatizo mahali kujimwagia maji ya baridi kichwani hufanya damu nyingi itumwe kichwani kwa ghafla na kama mishipa ina tatizo huko mtu hata asipopata stroke anaweza akasisimka/akazizima akaanguka. Na kwa vile mabafu mengi yana tiles/simenti akianguka kuna uwezekano mkubwa wa kujibamiza kichwa na kuharibu ubongo (mf. Kanumba). Wanashauri sasa wagonjwa na wahenga wengi waache kuoga kwa kuanza kujimwagia maji kichwani. Wengine pia kuna kuteleza tu, kuanguka na kubamiza kichwa. Ndiyo maana inashauriwa sana mazingira ya bafuni yasiwe na utelezi hasa kama kuna wazee au wagonjwa. Hata Marekani vilema na hata vifo vingi sana vya wazee husababishwa na kuanguka mabafuni na wanashauri kuweka kinga au mazulia maalum ili kupunguza utelezi.Mmmmh, ungefungulia uzi nadhani kina Mshana Jr wangemwaga neno, sidhani kama hapa tulipo kuna mwenye ujuzi wa masuala hayo.
sijui
Dah!
Bro me mtu mzima sana ni vile sijaoa tu.
Asante Beef
Na tuseme Amen!!!Si ajabu ndiyo unagonga 19 au 20. Subirini mtakua tu msiwe na wasiwasi. Time flies. Nawaombea tu muwe na afya njema na Mungu Awajalie maisha marefu mje muwe wahenga nanyi mchekwe na vijana.
Jana alikuwa na moto balaa kufika jioni hoi kachakazwa na Kanjibai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo mikeka yake anaitengenezea chobisi mwisho wa siku anakuja kulalama hapa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naomba prof.atolewe kwenye hiyo list[emoji23]
Sokapho apaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mma ghwe!! Mimi nimesoma ensi za Mwinyi (In Nyakyusa's voice).
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Shindwa na ulegee[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mmoja wa wenye uwezo wa kubadilika kutegemeana na mazingira, hongera sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], usiwadanganye maandaeitini wakafikiri mie rika lao.Alitufunga kamba hiyo idadi ya watoto bro. Andaeitini huyo. Ila mimi simo lakini [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
......Ngoma itambae, mzuka upae mpaka watu washangae[emoji3] [emoji3]
Saa sita kamili mchana[emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bro mimi ni binti wa makamo
Tukisema tuandae pati ya wanauzi mwishoni mwa mwaka huu mtaanza kutoa udhuru. Hapo unamkuta prof kumbe ni kiandaeitini kina 20 halafu anaibuka SYB yuko 65+...Mara Esta naye huyu hapa laivu ndiyo anagonga 21. Itafurahisha sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], usiwadanganye maandaeitini wakafikiri mie rika lao.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....We mzee wewe.Halafu ukute mtu mwenyewe umempendea picha kama hii...
Haki ya nani vilee nitanuna hadi nipate kilema cha midomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 915331
Tunafurahia uwepo wenu hapa[emoji120][emoji120]Ume define maisha, kuna watu hawajui kwa nini wanaishi,
Hawjui wafanye nini kupata Amani na maisha yenye furaha wakiwa hapa duniani.
Umetusaidia!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mi nilidhani ni 6:00,[emoji3] [emoji3] huku wanasemaga sita juu ya alamaSaa tano na dakika arobaini na tisa. Hata saa sita bado [emoji16][emoji16][emoji16]