myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
duh!Kwa mujibu wa gazeti la Gazetta dell Sport Kocha wa zamani wa Chelsea, Antonio Conte anapewa nafasi ya kuchukua nafasi hiyo, lakini pia imebainika kwamba Rais wa Real Madrid, Florentino Perez anataka kumrudisha kocha wa zamani, Jose Mourinho ambaye kwa sasa yupo Manchester United.
he!Inadaiwa pia kwamba wachezaji wakubwa katika kikosi cha Madrid wakiongozwa na nahodha, Sergio Ramos hawamtaki Conte kutokana na tabia yake ya kiburi huku akitawala timu yake kijeshi zaidi na wamepiga zengwe kwa Perez asimchukue kocha huyo Muitaliano.
inatia moyo.....UNAAMBIWA hivi, usikate tamaa kwa chochote unachokifanya kwa chochote unachopitia. Changamoto ni sehemu ya kuishi, hivyo unapaswa kupambana nalo na ushahidi wa hilo upo kwa wanasoka hawa ambao maisha yao yalikuwa magumu sana utotoni kabla ya sasa kuishi kibosi.