Kyala ughwa maka, shemeji habari ya mahangaiko? Kuadimika kwako vijana walifadhaika humu, ukubwa dawa... Kunyamaza... Watoto huridhika wakiona sura ya mkubwa ikiwa na nuru. Jambo la heri ulimuaga mwenyeji wako wa "Crest", hofu ikapungua.Mhola?
Na kwako pia.Ni jambo la kumshukuru Mungu kwakweli...Uwe na siku njema.