Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante mkuu. Miye sijambo kabisa. Ni pilika tu za hapa na pale. Maandaeitini wa hapa makelele mengi ila wangetulia wangegundua kuwa wana life coaches na wahenga wenye busara sana hapa hapa tukawasaidia wasirudie makosa tuliyopitia. Ila ndo hivyo ukiwaita Gold Crest wanakausha sijui wanafikiri utakuja kuwanyandua. TUMSHUKURU MUNGU. Nisalimie dada na vipwa vyangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Bro na Kazaramo kako. Mmenichekesha sana. Yaani mmetumia karibu lisaa lizima mnajadili Wasuku. I love you guys. Naondoka nikirudi tena nikute material zaidi aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
We love you na Wasuku wote,,,nmefurahi kukuona mchana wa leo kushare mawili matatu hapa,,,sema nakuombea kwa Mungu umalize mambo yako vyema ili tujumuike pamoja tena.

Akija binti mzaramo,ntamfikishia salama zake
Much love bro!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…