Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante bro. Kasalimie Kazaramo kako [emoji16][emoji16][emoji16]

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shimbaaa

Ahsante ndugu yangu zimefika. Uwe na siku njema
 
Maji hayajazidi unga...

Naona umeongezewa jina jingine (Google). Tukuiteje sasa? Prof? Google? Prof. Google ama? Kongaratyuleisheni [emoji122][emoji122][emoji122]
Prof. nadhani lanifaa na kunipatia heshima tele....Google linakusanya vyote, visafi, vichafu, vizuri na vibaya humo humo....Fyekelea mbali Google.
 
Tutawatumia vyema bro.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], eti "kuwanyandua" Sometimes maneno yenu ya kimafia yanawafanya maandaeitini waogope kukutana nanyi[emoji23][emoji23][emoji28].
 
Prof. nadhani lanifaa na kunipatia heshima tele....Google linakusanya vyote, visafi, vichafu, vizuri na vibaya humo humo....Fyekelea mbali Google.
Asante kwa ufafanuzi prof.

Mi nilipita kuwasalimia tu baada ya kupata kanafasi leo Sunday. Kamvua kananyesha hapa. Kijibaridi na kiupepo kinapuliza na kusisimua hisia za kimwili na hata kiroho. Madirisha yako wazi. Huko nje matawi ya miti midogo yananesanesa kwa madaha. Baadhi ya ndege wanaghani nyimbo zao kwa ustadi. Ni hali ya hewa nzuri na yenye kusisimua fikra sana. Kifuani moyo unadunda na kuimba wimbo wa maisha. Ninapumua. Niko hai !!!

Na katika muktadha huu najiuliza SHIMBA mimi ni nani? Kwa nini niko hapa? Ni kweli yote haya yametokea kwa bahati tu. Sayari hii nzuri inayoelea angani na kusafiri kwa mwendo huu mkali usiopungua wala kuongezeka imejiweka tu hapa kwa bahati? Hapana. Lazima kuna Mhandisi wa kanuni hizi tata zinazoendesha sayari hii na malimwengu mengine. Wazo hili tu linanisukuma kunyanyuka na kwenda bafuni kujiandaa kwenda kumwamudu Mhandisi huyu wa ajabu. Tutasemeshana baadaye prof na Mungu Aendelee kutubariki sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…